Willian adhihirisha wazi bifu lake na Conte ‘asingetimuliwa ningeondoka mimi’ at August 14, 2018 Mchezaji wa Chelsea, Willian Borges da Silva amesema kuwa asingekuwa nasababu ya kuendelea kubaki kwenye klabu hiyo kama aliyekuwa meneja ...